RAMANI YA NYUMBA CODE NO.RN003

  Upande wa Mbele (Front side View)
 Upande Wa Nyuma (back side view)
 Upande Wa Kushoto (Left side view)
 Upande wa kulia (right side view)
 Upande wa nyuma (back side view)
Upande wa mbele (front side view).

Ramani hii ina vyumba vitatu vya kulala kimoja kikiwa master chenye choo na bafu, pia kuna dinning, choo na bafu vya jumla na jiko yenye store, na sebule. Ukubwa wa nyumba ni mita 12 kwa upana na urefu ni mita 13. Ukubwa huu unaweza kupungua ama kuongezeka kutokana na mahitaji ya mteja karibu sana. Kupata ramani hii wasiliana nami kwa namba ya .0763080244.

Comments