Ramani ya nyumba ya ghorofa moja

 Muonekano wa mbele
Muonekano wa Nyuma
 Muonekano Wa kulia
 Muonekano wa kushoto
 Mbele
 Mbele
  Nice Car Parking

Muonekano wa juu

Overview :

Ramani ya nyumba ya ghorofa moja vyumba vitano ina vitu vifuatavyo chini ina Vyumba viwili vya kulala vyote self contained Jiko na store Choo cha jumla Ukumbi wa kupumzikia Ukumbi wa kulia. juu ina vyumba vitatu vya kulala vyote ni self pamoja na sehemu ya kulia na sebule pamoja na public toilet Ukubwa wa mita 10 kwa 14 Marekebisho yanawezekana kutokana na mahitaji ya mteja wasiliana nami sasa kwa namba, 0763080244.

Comments

Post a Comment