Ramani ya nyumba ndogo ya vyumba vitatu (RNNVV)

Muonekano Wa Mbele


Muonekano Wa Nyuma

Muonekano Wa Kulia

                                                                Muonekano Wa Kushoto

Muonekano wa Juu
Ramani ya nyumba ya ghorofa moja vyumba vinne ina vitu vifuatavyo Vyumba vinne vyote self contained Jiko na store Choo cha jumla Ukumbi wa kupumzikia Ukumbi wa kulilia Vyumba vya juu vyote vina balcony muezeko wa kisasa Ukubwa wa mita 10 kwa 14 Marekebisho yanaweza.... ya vyumba vitatu ina vitu vifuatavyo chumba kimoja self contained,Jiko na store Choo cha jumla Ukumbi wa kupumzikia Ukumbi wa kulia  muezeko wa kisasa Ukubwa wa mita 10 kwa 9.

Comments

  1. Samahani nahitaji ramani ya nyumba yenye vyumba vitatu, kimoja master room, public toilet na bafu, sebule, dinning na dressing room ndogo

    ReplyDelete
  2. Habari
    Je eneo la 20×10 ina kaa nyumba ya vyumba vinapi ba je eneo litabaki kwa ajili ya packing?

    ReplyDelete
  3. Habari samahani naomba kuuliza nyumba kama hiyo inaweza kugharimu kiasi gan cha pesa

    ReplyDelete
  4. Inaweza kutumia matofari mangapi nyumba ya vyumba vitatu

    ReplyDelete
  5. Ramani hii inaweza chukua kiasi ngni change fedha kuanza

    ReplyDelete
  6. Misingi wa nyumba iyo ya vyumba 3. Inachua tofali ngapi na nondo ngapi na sement mifuko mingapi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Samahan naomba raman ya vyumba 3
      Berdroom
      Master na sitting

      Delete

Post a Comment