Ramani ya vyumba vinne (R4)






Ramani ya vyumba vinne wiwili self contained  (vina vyoo) na sehemu ya kuvalia nguo (dressing room) Ukumbi wa kulia Ukumbi mkubwa Jiko na store Choo cha jumla Ukubwa wa nyumba futi 60 kwa 43 (inafaa kwa eneo la futi 80 kwa 70) Inaweza kuongezwa au kupunguzwa vitu kutokana na mahitaji ya mteja

Comments