RAMANI YA NYUMBA YA VYUMBA VINNE,











Nyumba hii ina sifa zifuatazo.

VYUMBA VYA KAWAIDA SELF CONTAINER VIWILI,
SEBULE KUBWA,
STORE
JIKO
DINING YENYE NAFASI KUBWA,
KENOPI YA NYUMA NA MBELE ZENYE NAFASI ZA KUTOSHA.

Pia unaweza kuijenga kwenye eneo la mita 20 kwa 20,
yenyewe ina mita 13.5 kwa mita 13.9.
ina muezeko wa kisasa,

MATERIALS
Bati 123
mbao 550
mawe ya msingi tip  15 ya roli la 3.5mqb

tofari ya kuchoma nch4.5 12500
tofari za cement blocks 15cm x 45cm  3800

kuipata ramani ya nyumba hii au ukitaka kujengewa tuwasiliane kupitia,
0763080244.

Comments

  1. bedaz.com:ramani za nyumba kwa bei nafuu no.0763399741 whatssApor or call or e.mail address bedatzcom41@gmail.com au tembelea ukurasa wetu bedatzcom : ramani za nyumba

    ReplyDelete

Post a Comment