RAMANI YA NYUMBA YA VYUMBA VITATU, (R002)

                             Picha za ramani












SIFA.
Ramani hii ina vyumba viatu,
Master bedrom
Sitting area. 
1 Self  bedroom
Bedroom
Kitchen
Dining Area
Store
Public toilet

UKUBWA.
Ina urefu wa mita 11.1 kwa 10.3
 Ina ukubwa wa 102.4sqm (covered area) 

MATERIALS
Kama utajenga msingi wa mawe utatumia trip 8 za gari yenye ujazo wa 3.5msq
Utajenga boma kwa tofari za kuchoma za inch4 kama utajenga mojamoja utatumia tofari 9200
kama utatumia tofari za blocks (cements) utatumia tofari 3300.
Utafunika kwa baati 75 zenye ukubwa wa futi 10

NB; Makadirio haya yanaweza kuongezeka kwa 15% pia  hutegemeana na sehemu.
kwa maelezo zaidi na jinsi ya kuipata kwa gharama nafuu zaidi tuwasiliane,
0763080244 

Comments